Liverpool ilipoionesha Man City Kiwango cha Soka lake, Nyumbani kwake Etihad
Mshambuliaji Sergio Aguero wa Man City akishangilia bao nyuma ya mlinda mlango wa Liverpool, Pepe Reina katika mechi ya Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Etihad. Timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2.
No comments:
Post a Comment