Mchezaji Mrisho Ngassa wa Simba, akichupa na mpira huku akikatwa kwanja na Damas Makwaya wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilimaliza mchezo huo zikiwa zimefungana bao 1-1 kama ilivyokuwa kwa watani wao wa jadi Yanga, waliotoka sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar kwenye uwanja huo huo jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
No comments:
Post a Comment