TANGAZO

Saturday, February 2, 2013

Rais Kikwete atua Kigoma kuongoza maadhimisho ya miaka 36 ya CCM

Wananchi wa Kigoma wakimlaki Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotua uwanja wa ndege wa mji huo,
mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi na wana CCM alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi na wana CCM alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele kesho, Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.

Mama Salma Kikwete akisalimia wakati yeye na  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwandishi wa Radio Uhuru FM, mara tu alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Dk. Asha-Rose Migiro, Ikulu ndogo ya mjini Kigoma.
Wasanii Dokii na Abdul Misambano na wadau wengine, wakiwa mjini Kigoma.
Wapiganaji waliotoka Dar es salaam hadi Kigoma kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM, wakiwa Uwanja wa ndege wa Kigoma.
Msanii Dokii,  akiwa na vijana, uwanja wa Ndege wa Kigoma kumpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete. 
Baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa uwanjani hapo kwa ajili ya kumpokea Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.
Katibu Mkuu wa CCM akiwa na viongozi wa vyama tawala vya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) na Burundi ambao wamealikwa katika sherehe hizo.
Baadhi ya viongozi wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kigoma, kumpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdurrahaman Kinana na Muhammed Seif Khatib, wakiongea na Wapiganaji waliotoka Dar es salaam hadi Kigoma kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM. 
Viongozi na wageni mbalimbali wakiwa wamejipanga kumpokea Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete, Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdurrahama Kinana, uwanjani hapo leo.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akifuatana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdurrahama Kinana, uwanjani hapo baada ya kuwasili leo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wazee wa Kigoma uwanjani hapo, alipotua mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele kesho, Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho, uwanjini hapo.
Katibu Mkuu wa CCM akiwa na viongozi wa vyama tawala vya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) na Burundi ambao wamealikwa katika sherehe hizo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa amembeba mtomto huku akisalimiana na wananchi wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment