Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Vuai Shamsi Nahodha (kushoto), Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange (kulia), wakitembelea maeneo ya Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mlalakuwa jijini Dar es Salaam, wakati Rais Kikwete, alipowasili ofisini hapo leo, February 27, 2013. (Picha zote na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na kada mbalimbali za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), alipotembelea Makao Makuu ya jeshi hilo, Mlalakuwa jijini Dar es Salaam leo February 27, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa mbalimbali za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), alipotembelea Makao Makuu ya jeshi hilo, Mlalakuwa jijini Dar es Salaam leo February 27, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kwenye uwanja wa sherehe.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea zawadi toka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga, huku Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Vuai Shamsi Nahodha (katikati), akiangalia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akifurahia zawadi yake hiyo, aliyokabidhiwa na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga huku. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Makamanda wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Maofisa wengine wa jeshi hilo, Makao Makuu, Mlalakuwa jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment