TANGAZO


Tuesday, February 26, 2013

Rais Kikwete akagua Ukumbi Wa Mikutano wa Kimataifa jijini Dar es Salaam

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ukumbi  mkubwa wa mikutano 'multi-purpose conference hall' uliopo mtaa wa Shaaban Robert, jijini Dar es Salaam. Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Ujenzi wa ukumbi huo, uko katika hatua za mwisho na Rais Kikwete mbali na kuridhishwa na hatua hiyo, ametoa maelekezo kwa wahandisi kutenga sehemu maalumu kwa wapiga picha na waandishi wa habari, ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Rais Kikwete pia ameelekeza wahandisi kuweka viti na meza zinazohamishika ili kukidhi matakwa ya mikutano na vikao vya aina mbalimbali. (Picha zote  na Freddy Maro)


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua viti vya ukumbi huo mkubwa wa mikutano 'multi-purpose conference hall', uliopo mtaa wa Shaaban Robert, jijini Dar es Salaam. Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na ujenzi wake, uko katika hatua za mwisho kukamilika.

Sehemu ya kufanyia mikutano ya ukumbi huo, mkubwa wa mikutano 'multi-purpose conference hall', uliopo mtaa wa Shaaban Robert, jijini Dar es Salaam, inavyoonekana. Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na ujenzi wake, uko katika hatua za mwisho kukamilika.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na wahandisi wa ujenzi, moja ya sehemu za kumbi za kufanyia mikutano za ukumbi huo, mkubwa wa mikutano 'multi-purpose conference hall', uliopo mtaa wa Shaaban Robert, jijini Dar es Salaam. Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na ujenzi wake, uko katika hatua za mwisho kukamilika.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitembea kuangalia ukumbi huo, mkubwa wa mikutano 'multi-purpose conference hall' uliopo mtaa wa Shaaban Robert, jijini Dar es Salaam leo. Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na ujenzi wake, uko katika hatua za mwisho kukamilika.

No comments:

Post a Comment