TANGAZO


Friday, February 1, 2013

Ajali ya Lori Mbarali mkoani Mbeya, wanne wapoteza maisha

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbasi Kandoro akiwajulia hali baadhi ya majeruhi waliopata ajali, iliyohusisha gari la lori, aina ya Scania lenye namba za usajili T 398 BSE, mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, ajali iliyotokea leo, ambapo watu wanne walipoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa vibaya.
Baadhi ya majeruhi wakiwa wamelala wakisubiri kuhudumiwa kufuatia kupata ajali iliyohusisha gari la lori, aina ya Scania lenye namba za usajili T 398 BSE mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga, Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, ajali iliyotokea leo, ambapo watu wanne walipoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa vibaya.
Baadhi ya majeruhi wakionekana katika hali mbaya kufuatia kupata ajali iliyohusisha gari la lori, aina ya Scania lenye namba za usajili T 398 BSE mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya ajali iliyotokea leo, ambapo watu wanne walipoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa vibaya.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali wakishangaa majeruhi (hawaonekani pichani), kufuatia kupata ajali iliyohusisha gari la lori, aina ya Scania lenye namba za usajili T 398 BSE, mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, ajali iliyotokea leo, ambapo watu wanne walipoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa vibaya.
Baadhi ya wasamaria wema wakisaidia kumwingiza kwenye gari mmoja wa majeruhi wa ajali kwa ajili ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Rufaa kwa ajili ya matibabu zaidi ambapo ajali iliyohusisha gari aina ya Scania lenye namba za usajili T 398 BSE mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya ajali iliyotokea leo, ambapo watu wanne walipoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa vibaya.

Roli aina ya Scania mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga lenye namba za usajili T 398 BSE, likionekana baada ya kupata ajali na kusababisha vifo vya watu watano na wengine 130 kujeruhiwa vibaya. 

Lori aina ya Scania, mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga lenye namba za usajili T 398 BSE, likionekana baada ya kupata ajali na kusababisha vifo vya watu watano na wengine 130 kujeruhiwa vibaya. 
Baadhi ya mashuhuda wa ajali wakishangaa majeruhi (hawaonekani pichani), kufuatia kupata ajali iliyohusisha gari la lori, aina ya Scania lenye namba za usajili T 398 BSE, mali ya Mwekezaji wa shamba la Kapunga Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, ajali iliyotokea leo, ambapo watu wanne walipoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa vibaya. (Picha zote na Venance Matinya)

No comments:

Post a Comment