Mwandishi wa Habari wa TBC, akinasa matukio.
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred akisalimiana na wanafunzi.
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, akiwa amembeba mmoja wa watoto albino |
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, akikabidhi msaada wa mafuta ya ngozi kwa mmoja wa jamii ya albino mkoani Kagera jana.
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred , akikabidhi fimbo ya kutembelea kwa mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo.
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, akiwa pamoja na uongozi wa shule hiyo, wakati alipokuwa akijiandaa kuwakabidhi msaada wa vitu mbalimbali jana, mkoani humo. |
Wanafunzi wa Shule ya Mugeza Mseto, wakitokelezea kwa kunasa picha na Miss Tanzania.
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, akipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo, wakati wa hafla hiyo. |
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred akipozi na wanafunzi kwa picha ya kumbukumbu. Walemavu hao ni walemavu ngozi.
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, akipozi kwa picha na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.
Baadhi ya walimu wa Shule ya Mugeza Mseto, wakiwa katika picha ya pamoja na Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred. (Picha zote kwa hisani ya Bukoba Sports.com)
No comments:
Post a Comment