TANGAZO


Friday, December 14, 2012

Rais Kikwete ashiriki, awatuza wazalishaji bora viwandani 2012

 

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza kwenye hafla ya CTI, usiku wa kuamkia leo, katika Hoteli ya Serena Inn, jijini Dar es Salaam ambapo wanachama wa taasisi hiyo waliofanya vyema walizawadiwa vikombe.
Meza ya Serengeti Breweries katika hafla ya kuwatuza wanachama wa CTI, usiku wa kuamkia leo, Hoteli ya Serena Inn, jijini Dar es Salaam ambapo wanachama wa taasisi  hiyo, waliofanya vyema walizawadiwa vikombe na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Meza ya  Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika hafla ya kutoa tuzo kwa wananchama wa Shirikisho la Wenye viwanda nchini (CTI), usiku wa kuamkia leo, katika Hoteli ya Serena Inn jijini Dar es Salaam.
Wadau mbalimbali katika hafla hiyo ya CTI, wakibadilishana mawazo.
Bosi wa Tanzania Kampuni ya Tanzania Distilleries, inayotengeneza kinywaji kikali cha Konyagi,  David Mgwassa akiwa na mke wake katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tanzania Distilleries, wakiwa katika hafla hiyo, usiku wa kuamkia leo, jijini Dar es Salaam.
Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika hafla hiyo, wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka.
Wadau mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo. (Picha zate na Richard Mwaikenda)
 

No comments:

Post a Comment