TANGAZO


Thursday, December 27, 2012

Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar waonana na Rais Shein

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Khatib Mwinyichande, akiongoza ujumbe wa tume hiyo, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar, Kumuaga Rais kwa kumaliza muda wa kazi wa tume hiyo leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kutoka kwa Mwenyekiti wake, Khatib Mwinyichande, alipoongoza ujumbe wa tume hiyo, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kumuaga Rais kwa kumaliza muda wa kazi wa tume hiyo leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment