Mwakilishi wa Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Masikitiko
akifungua rasmi maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani iliyowashirikisha
wafanyakazi wa shirika hilo na kufanyika Makao Makuu ya TBS, jijini Dar es Salaam
leo.
Mwelimishaji, Jabir Saleh akitoa mada kuhusu
jinsi ya kujikinga na maambukizi ya Ukimwi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi
Duniani leo.
Jabir Saleh, Kaimu Mwenyekiti Kamati ya
Ukimwi.
Badhi ya washiriki wakiwa katika maadhimisho hayo.
Washiriki wakiwa katika maadhimisho hayo jijini leo.
Wasanii wa Kikundi cha Sanaa kutoka kijiji cha
Makumbusho wakitumbuiza katika maadhimisho hayo.
Dk. Fidelis Owenya
akitoa mada ya jinsi ya kujikinga na maambukizi ya Ukimwa wakati wa Maadhimisho
ya Siku ya Ukimwi Duniani leo.
No comments:
Post a Comment