TANGAZO


Friday, December 14, 2012

Rais wa Zanzibar Dk. Shein akutana na uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo, katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar. Kulia ni Makamo wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad na kulia kwa Rais ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abduhamid Yahya Mzee.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo, katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment