TANGAZO


Friday, December 14, 2012

Mahafali ya Chuo cha Uandishi wa Habari cha Times jijini Dar es Salaam


Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya uandishi wa habari kwenye Chuo cha Uandishi wa habari cha Times (Times School of Journalism), wakiwa kwenye mahafali yao ya 12 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, jijini Dar es Salaaam, ambapo wanafunzi wa Stashahada na Astashaha wamehitimu na kutunukiwa vyeti vyao.
Baadhi ya wahitimu hao, wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi wa mahafali hayo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini Deus Kibamba (hayupo pichani), chuoni hapo leo.
Wadau wakipozi kwa picha baada ya kula Nondozzzzz!
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini, Deus Kibamba akizungumza na wahitimu pamoja na wazazi wa wahitimu chuoni hapo wakati wa mahafali yao jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment