Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akizungumza na mgeni wake, Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, kwa ziara ya siku mbili nchini.
Rais Jakaya kikwete (kulia), akiongozana na mgeni wake Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, kwa ziara ya siku mbili nchini. (Picha na Fredy Maro, Ikulu)
No comments:
Post a Comment