Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete wakitembelea bweni namba 15 ambamo Rais Kikwete alikuwa akiishi wakati akiwa mafunzoni hapo katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha. Kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo Rais alitembelea sehemu mbalimbali za chuoni hapo.
"Mheshimiwa Rais naomba kukupiga picha", msichana Shalom anamwambia Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha jana lDesemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua gwaride la Maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli, Arusha jana Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192, waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa jukwaa kuu na maafisa wakuu wa jeshi
Gwaride la maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana, Desemba 15, 2012 wakati wa kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akitunuku Kamisheni kwa Maofisa wanafunzi 192 katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha ja naDesemba 15, 2012
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikata utepe kufungua rasmi maktaba ya kisasa katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha jana, Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiangalia vitabu kwenye maktaba ya kisasa baada ya kuifungua katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment