TANGAZO


Sunday, December 16, 2012

Makamu wa Rais Dk. Bilal awaongoza Waumini Kiislamu kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriayya



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa sherehe za kuupokea Mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya, zilizofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2012. (Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi mtoto Mariam Nassor, ambaye ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka uliopita wa Kiislma. Makamu alikabidhi zawadi hizo wakati wa sherehe za kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya, zilizofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akiwa ni mmoja kati ya watu waliofanikisha maandalizi ya sherehe hizo kuanzia mwaka uliopita wa Kiislma. Makamu alikabidhi zawadi hizo wakati wa sherehe za kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya, zilizofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.

 

No comments:

Post a Comment