TANGAZO


Sunday, December 16, 2012

Rose Mhando na Enock Jonas walivyotikisa Tamasha la Shangwe Kagera

 
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Rose Muhando akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa Kagera.Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Enock Jonas (Zunguka)m akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe, Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki. Tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa Kagera.Mkurugenzi wa Beula Communication, Melkzedek Mutayabarwa akizungumza kwenye Tamasha la Shangwe Kagera, ambapo Kampuni hiyo, ndio iliyoandaa tamasha hilo.Mkuu wa Wilaya Bukoba, Zippora Pangani, akihutubia kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki. Tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika Mkoa wa Kagera.Waimbaji wa kwaya ya Vijana ya KKKT, Usharika wa Kanisa Kuu la Mjini Bukoba wakitumbuiza kwenya tamasha la Shangwe Kagera.Rose Muhando akiwaburudisha viongozi walioudhuria Tamasha la Shangwe Kagera katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.Masista wa Kituo cha Tumaini Children’s Centre, Sr.NAdventina Kyamanywa (kushoto) na Sr. Esther wakijadiliana jambo wakati wa tamasha la shangwe Kagera katika viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.Mchungaji Edward Mutashobya akisalimiana na Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Rose Muhando wakati wa tamasha la shangwe Kagera katika viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.
Mashabiki mbalimbali wakiwa katika tamasha la Shangwe lililofanyika katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. (Picha zote na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment