TANGAZO


Sunday, December 30, 2012

Rais Kikwete aongoza mazishi ya mzee Mohamed Aboud

 

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali, Makamu wa Pili wa Rais wa Znzibar, Balozi Seif Iddi, Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakiwa katika mazishi ya marehemu Mohamed Aboud Mohamed, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali mstaafu, katika Makaburi ya Ngazija, jijini Dar es Salam leo, Desemba 29, 2012.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi ya marehemu Mohamed Aboud Mohamed, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali mstaafu, katika Makaburi ya Ngazija, jijini Dar es salam leo, Desemba 29, 2012. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment