Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kuhusu historia ya kituo chake baada ya kupokea misaada ya vyakula kutoka kwa Kampuni ya Msama Promotion, ambapo Mkurugenzi wake, Alex Msama amekabidhi misaada hiyo leo.
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani. Mbali ya kukabidhi vyakula hivyo, Msama pia alikabidhi hundi ya sh. milioni 1.5 kwa ajili ya kulipia ada za wanafunzi waliofukuzwa shule. Msaada huo umetokana na mapato ya tamasha la Pasaka, hafla hiyo, ilifanyika Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula.
Baadhi ya watoto wakishusha vyakula viliyotolewa msaada na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama.
Baadhi ya watoto wakishusha vyakula viliyotolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama.
Baadhi ya watoto wakishusha vyakula viliyotolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama.
Baadhi ya watoto wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya watoto wakishusha vyakula viliyotolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akimkabidhi hundi ya sh. milioni 1.5, Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani kwa ajili ya kulipia ada za wanafunzi waliofukuzwa shule. Mbali ya kukabidhi hundi, Msama alikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vikiwa na thamani ya sh milioni 3, zilizotokana na mapato ya tamasha la Pasaka, hafla hiyo ilifanyika Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani, akionesha hundi aliyokabidhiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama kwa ajili ya kulipia ada ya shule kwa watoto waliosimamishwa shule . |
Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani akimuonesha moja ya vyumba vinavyotumiwa na watoto hao.
Alex Msama akipata maelezo katika chumba maalum kwa ajili ya watoto kujifunza kushona.
Dua ya kumshukuru mungu ikisomwa (Picha zote kwa hisani ya Fullshangwe blog).
No comments:
Post a Comment