TANGAZO


Friday, December 7, 2012

Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati ya Ulinzi ya SADC jijini Dar es Salaam

 
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya nchi za Jumuiya Uchumi na Maendeleo ya Kusini mwa Afika (SADC), Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini ili kushiriki kikao cha kamati hiyo.Pembeni ni Katibu Mkuu wa SADC, DrkTomaz Salomao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya nchi za Jumuiya  Uchumi na Maendeleo ya Kusini mwa Afika (SADC), Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini ili kushiriki kikao cha kamati hiyo.Pembeni ni Katibu Mkuu wa SADC, Dk.Tomaz Salomao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya SADC, Rais Dk.J akaya Mrisho Kikwete( Wanne Kushoto) akiwa na viongozi SADC waliopo katika kamati hiyo.Wengine katika picha ni Rais Wa Afrika ya Kusini Jackob Zuma(Watatu kushoto), Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia(kulia),Rais Mstaafu wa Msumbiji ambaye pia ni msuluhishi wa SADC kwenye mgogoro wa Madagaska, Joachim Chissano(wapili kushoto) na kushoto ni Katibu mkuu wa SADC Dkt.Tomaz Salomao. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment