TANGAZO


Thursday, December 20, 2012

Rais Jakaya Kikwete akutana na mmiliki na viongozi wa klabu ya Sunderland ya Uingereza Ikulu jijini Dar es Salaam

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Ellis Short (kushoto kwa Rais), Makamu Mwenyekiti, David Milliband (kulia kwake), Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim pamoja na Maofisa wa Bodi ya Utalii bada ya mkutano na Rais, Ikulu jijijni Dar es Salam leo.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea jezi toka kwa mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Ellis Short huku Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo, David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu, John Farnan wakiangalia bada ya mkutano  na Rais, Ikulu jijini Dar es Salam leo.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Ellis Short huku Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo, David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo, John Farnan wakisikiliza, Ikulu jijini Dar es Salam leo.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Ellis Short, Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo, David Milliband, Mkurugenzi wa Masoko, John Farnan, Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim pamoja na Maofisa wa Bodi ya Utalii baada ya mkutano na Rais, Ikulu jijini Dar es Salam leo. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment