Mkurugenzi wa Uendelezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe akitangaza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, muda wa kuanza kuuza nyumba 290 za bei nafuu zinazojengwa Kibada, Kigamboni jijini, zitakazoanza kuuzwa Januari 2, mwakani. Kulia ni Meneja Masoko na Utafiti wa NHC, Itandula Gambalagi. (Picha zote kwa hisani ya Kamanda wa Matukio blog)
David Shambwe (wa Pili kulia), akifafanua jambo katika mkutano huo. Kutoka kushoto ni Meneja Mahusiano na Majukumu ya Kijamii wa NHC, Muungano Saguya, Meneja wa Mkoa wa NHC Kanda ya Kinondoni, Erasto Chilambo na Meneja Masoko na Utafiti wa NHC, Itandula Gambalagi.
Shambwe akijibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment