Mpigapicha Mkuu wa
gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa na mke wake, Fridah Mockray wakati
wa ibada ya ndoa takatifu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Sinza jijini Dar
es Salaam jioni hii. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Mpiga Picha
Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa katika pozi na mkewe,
Fridah Mockray mara baada ya kufunga ndoa katika Kanisa Katoliki, Sinza jijini
Dar es Salaam jioni hii.
Senga na mkewe katika pozi la harusi
Picha ya pamoja na familia za bwana na bibi harusi nje ya Kanisa Sinza jijini.
Maharusi wakitoka Kanisani.
Senga akiwa amemshikilia mkewe, wakitoka kanisani |
Wakikabidhiwa vyeti vyao vya ndoa |
Matron akisaini cheti
Mpambe akisaini cheti cha ndoa |
Bwana na bibi harusi wakiwa Kanisani Sinza. |
No comments:
Post a Comment