Wananchi waliohudhurika katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . wakiwa na bango wakati wa maadhimisho hayo huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Waziri wa Afya Juma Duni Haji akikata utepe katika Kitabu ikiwa ni Ishara ya Uzinduzi wa Mkakati wa Awamu ya Pili wa Uhamasishaji na Utetezi dhidi ya Ukimwi,huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 Zanzibar.
Waziri wa Afya Juma Duni Haji akitoa Hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 huko katika Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.kulia yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pembe Juma Khamis na kushoto yake ni Mwenyekiti wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Prof,Saleh Idris Muhammed.
Wananchi mbalimbali waliohudhurika katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . wakisoma majarida ya Ukimwi yaliotolewa kwa ajili ya kijifunza masuala ya Ukimwi.huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Wananchi wa Vijiji mbalimbali wamejitokeza katika kuangalia Afya zao katika Vituo vilivyowekwa katika sehemu ya Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Wananchi wa Vijiji mbalimbali wamejitokeza katika kuangalia Afya zao katika Vituo vilivyowekwa katika sehemu ya Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Skuli ya Regeza Mwendo,Langoni na SOS wakitoa elimu ya Ukimwi kwa Njia ya Mchezo wa Kuigiza katika Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1 Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar. _
(Picha zote na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar)
No comments:
Post a Comment