TANGAZO


Tuesday, December 4, 2012

Mohamed Seif Khatib akabidhiwa Ofisi rasmi CCM Lumumba

 
Katibu wa NEC, Oganaizesheni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Muhamed Seif Khatib (kushoto), akisaini makabidhiano ya Ofsi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, mjini Dodoma, Asha Abdalaah Juma (katikati), katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Matson Chizi.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Muhamed Seif Khatib (kushoto), akikabidhiwa Ofsi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, mjini Dodoma, Asha Abdalaah Juma (katikati), katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Matson Chizi. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment