Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akitoka katika Mahakama ya Rufaa Tanzania wakati kesi yake ya kupinga kuvuliwa Ubunge wa Arusha Mjini, ilipoanza kusikilizwa leo.
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (kulia), akiteta jambo na wakili wake, Tundu Lissu nje ya Mahakama ya Rufaa Tanzania, wakati kesi yake ilipoanza kusikilizwa leo, jijini Dar es Salaam. (Na zote Picha na Habari Mseto Blog) |
No comments:
Post a Comment