Rais Jakaya Kikwete,
akikaribisha viongozi wenziwe wa nchi za SADC katika kikao cha dharura cha
Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo Desemba 8,
2012/
Rais Jakaya Kikwete, Rais
Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini, Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia na Katibu
Mkuu wa SADC, Dk.Tomaz Salomao pamoja na Mawaziri wa nchi hizo, wakipitia rasimu
ya muhtasari wa kikao kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo
katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo Desemba 8, 2012.
Rais Jakaya Kikwete,
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wenziwe wa nchi za SADC katika kikao cha
dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo
Desemba 8, 2012. (Picha zote na Ikulu, Dar es Salaam)
No comments:
Post a Comment