Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
Mohammed Gharib Bilal (kulia), akiagana na Rais wa Madagacar, Andry Rajoelina, wakati alipokuwa akimsindikiza, Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo, kurejea nchini kwake
baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Rais wa Madagacar, Andry
Rajoelina, wakati amkisindikiza kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, jijini Dar es Salaam alipokuwa akiondoka nchini leo, kurejea nchini
kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Kulia ni Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
No comments:
Post a Comment