![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhD_DvFmSZg5TDTXUqRcMv3Z02Knskmiop872yTXd_2NHNQSO2Gsd94nWZpaJvM6IJMOidnR4lxDI9UzQn41mIqGMeT8_fwYWluQ7dC6b9ql1QoJPGl9-aLtSWjQiN6fCyoIAqD-7CgWzo/s640/1.jpg) |
Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi wa mazingira ya Tirima Enterprise ya Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wakifanyakazi ya kujitolea kuzibua mitaro katika Mtaa wa Mtambani Relini, maeneo ya Vingunguti leo asubuhi, ikiwa ni kampeni ya kuhamasisha wakazi wa maeneo hayo, kujitolea kufanya usafi wa mazingira kwenye maeneo yao ili kudhibiti magonjwa ya mlipukuo, kama vile kipindupindu na mengineyo. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijSNHPPAxZgnS0P4JvzYcC5-RLqZTgPTGx7QR0leXYIiEQd1-7e-aNt2yX_7nQA1urXDEQpI3TCh7SladX8y5mKCI9WFPCrl3Uct6cu2nROqdOsED1sIlXuDQToqUsn6oa-p4bjBzCFW0/s640/2.jpg) |
Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi wa mazingira ya Tirima Enterprise ya Manispaa ya Ilala, wakiwa kazini kusafisha mtaro wa maji taka, Vingunguti Mtaa wa Mtambani Relini, jijini Dar es Salaam leo asubuhi |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNHNZDkyl_ZtVVriUVLcgZMehlELLg10nTtKCnRRer-j1_sec6KD89ewiywhOr2dVBjoZH8lQRkmnZoFc-nt0T3TqdPVPlxJrmVzBzfZjC6g_JxcdqcaXZXeShyphenhyphenNiDdSUiD5KOBzM5b58/s640/3.jpg) |
Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi wa mazingira ya Tirima Enterprise ya Manispaa ya Ilala, wakitoa taka kwenye mtaro wa huo wa maji taka, kwa ajili ya kuondoa mazalia ya mbu na maambukizi ya magonjwa ya mripuko katika maeneo hayo ya Vingunguti. |
Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi wa mazingira ya Tirima Enterprise ya Manispaa ya Ilala, jijini wakitoa taka kwenye mtaro wa kupitishia maji taka, maeneo ya mtaa wa Mtambani Relini, Vingunguti leo asubuhi. (Picha zote kwa hisani ya Mwaibale blogspot)
No comments:
Post a Comment