Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue akipozi na kikosi kizima cha michezo mbalimbali cha Ikulu Sports
Club ambacho kilinyakua jumla ya makombe matano katika michezo
mbalimbali ya
Shirikisho la Michezo ya Wizara (SHIMIWI) mwaka huu mjini Morogoro. Kulia
kwake ni Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi na kushoto kwake ni
Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu Bw Julius Mogore katika hafla ya kukabidhi makombe
na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo Deswemba 17, 2012 Ikulu jijini
Dar es salaam. Kwenye michezo hiyo iliyofanyika kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba
10 mwakq huu, ilishirikisha jumla ya wanamichezo 3500 kutoka wizara 56, mikoa
18 na idara za serikali 14 ambapo wanamichezo 91 wa Ikulu walioshiriki
walifanikiwa kuibuka washindi wa kwanza katika michezo ya Baiskeli, Netbal,
Kuvuta kamba wanawake na wanaume na kushik nafasi ya pili ya riadha kwa
wanawake na wanaume.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue akinyanyua juu mojawapo ya makombe matano ambayo Ikulu Sports Club
ilinyakua kwenye michezo ya SHIMIWI ya maka huu mjini
Dodoma katika hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi
bora iliyofanyika jana, Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. Kwenye
michezo hiyo iliyofanyika kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 10 mwakq huu,
ilishirikisha jumla ya wanamichezo 3500 kutoka wizara 56, mikoa 18 na idara za
serikali 14 ambapo wanamichezo 91 wa Ikulu walioshiriki walifanikiwa kuibuka
washindi wa kwanza katika michezo ya Baiskeli, Netbal, Kuvuta kamba wanawake na
wanaume na kushik nafasi ya pili ya riadha kwa wanawake na
wanaume.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue akiwa katika picha na Bw. Miraji Ahmed Saleh ambaye ameibuka kuwa
mfanyakazi Bora na Hodari kwa mpigo, akiwa kama Msaidizi wa Ofisi Mwandamizi
katika Idara ya
Huduma za Ikulu na Zahanati katika hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia
wafanyakazi bora iliyofanyika jana, Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni
Sefue (wa nane toka kulia ) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ikulu, Mama Suzana Mlawi
(kulia kwake) na Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu, Julius Mogore (wa pili
kushoto ) pamoja na mwenyekiti wa TUGHE tawi la Ikulu Bw. Paulo Mgeni (kulia)
wakiwa na Mwadawa Twalibu, Sophie Komba na Pascalia Kibayasa ambao wachezaji wa
timu ya netball ya Ikulu Sports Club ambao pia ni wachezaji wa timu ya taifa ya
mchezo huo (Taifa Queens) kwenye hafla ya kuwazawadia iliyofanyika jana, Desemba
17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue akiwa na Mwadawa Twalibu, Sophie Komba na Pascalia Kibayasa wachezaji wa
netball wa Ikulu Sports Club ambao pia ni wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa
Queens) ya mchezo huo kwenye hafla ya kuwazawadia iliyofanyika leo Desemba 17,
2012 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu
Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (wa nane toka kulia ), pamoja na Naibu Katibu Mkuu
Ikulu Mama Suzana Mlawi (kulia kwake) na Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu Bw
Julius Mogore (kushoto kwake), wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora
wa Ofisi ya Rais, Ikulu katika hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia
wafanyakazi bora iliyofanyika jana, Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es
salaam.
Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana
Mlawi akiwa na Mwadawa Twalibu, Sophie Komba na Pascalia Kibayasa ambao
ni wachezaji wa timu ya netball ya Ikulu Sports Club ambao pia ni wachezaji wa
timu ya Taifa ya mchezo huo (Taifa Queens), kwenye hafla ya kuwazawadia
iliyofanyika jana, Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimpa zawadi, Miraji Ahmed Saleh kwa kuibua mfanyakazi bora na pia mfanyakazi hodari wa
Ofisi ya Rais Ikulu. Saleh ni Msaidizi wa Ofisi Mwandamizi
katika Idara ya Huduma za Ikulu na
Zahanati katika hafla ya kuwazawadia iliyofanyika jana, Desemba 17, 2012 Ikulu
jijini Dar es salaam. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment