TANGAZO


Tuesday, December 18, 2012

Rais Dk. Shein akutana na Uongozi wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), katika utekelezaji wa
kazi za Wizara hiyo, katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

Watendaji katika Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,(Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo, katika Ukumbi wa mikutano Ikulu, Mjini Zanzibar leo.
 
Watendaji katika Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,(Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo, katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment