TANGAZO


Thursday, December 27, 2012

Bilal Muslim Mission yawawezesha watu 90 kuona wilayani Ruangwa

 
 Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,Agness Hokororo akiwasalimia baadhi ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa macho bila malipo kwa udhamini wa Bilal Muslim Mission wilayani humo.
 
 Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Tamisemi, Kassim Majaliwa akiwa na Bi Somoe Omary alipomtembela katika Hospital ya wilaya ya Ruangwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa macho na kuweza kuona tena baada ya kutoona kwa miaka 10.
 
 Bi. Somoe Omary, akifurahi baada ya kufanyiwa upasuaji na kuweza kuona tena baada ya kutoona kwa miaka 10.
 
 Bango la matangazo ya huduma hiyo iliyotolewa kwa ufadhili wa Bilal Muslim Mission.
 
Mbunge wa Ruangwa, Kaasim Majaliwa akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Reuben Mfune wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wagonjwa waliotibiwa na kuweza kuona tena. (Picha zote na Abdulaziz Video)

No comments:

Post a Comment