TANGAZO


Tuesday, December 25, 2012

Askofu Dk. Malasusa aongoza Ibada ya Krismas Kanisa la Azania Front, jijini Dar es Salaam


Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa akitoa baraka kwa waumini wa Kanisa hilo (hawapo pichani), jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismas leo asubuhi. Kulia ni Mchungaji wa Kanis ahilo Charles Mzinga. (Picha zote na Dotto Mwaibale)

Askofu Malasusa akitoka katika Kanisa hilo, baada ya kumaliza kuendesha Ibada ya Krismas leo asubuhi.
Waumini na waimbaji wa Kwaya Kuu ya Kanisa hilo, wakitoka baada ya kumalizika kwa Ibada hiyo.
Askofu Dk. Malasusa akisalimiana na waumini nje ya Kanisa hilo kwa ajili ya kuwatakia heri ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya.
Waumini wakisalimiana na Askofu Dk. Alex Malasusa, nje ya Kanisa la Azania Front, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Waumini wakiwa kwenye Ibada ya Krismas katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), asubuhi jijini leo.
Waumini wakishiriki Ibada ya Krismas katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) la Azania Front, asubuhi jijini leo.
Waumini wakifuatilia Ibada ya Krismas kanisani hapo leo asubuhi.
Waumini wakifuatilia kwa makini Ibada ya Krismas katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) la Azania Front, leo asubuhi jijini.
Waimbaji wa Kwaya ya vijana wa Kanisa hilo, wakiimba nyimbo mbalimbali za kumtukuza Mungu.
Waumini wakiwa nje ya Kanisa hilo, baada ya kumalizika kwa Ibada hiyo.

No comments:

Post a Comment