Mazoezi ya timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes chini ya kocha wake mkuu, Salum Bausi jana kwenye uwanja wa Amaan. (Picha na Martin Kabemba)
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Salum Bausi (kushoto), akiwapa maelekezo wachezaji wake kwenye Uwanja wa Amaan, mjini Zanzibar wakati wa mazoezi ya timu hiyo jana.
Mshambuliaji wa timu ya Falcon, Othman Halid akimtoka mlinzi wa Zimamoto kwenye uwanja wa Amaan jana, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar. Falcon na Zimamoto zilitoka sare kwa kufungana mabao 2 - 2. (Picha zote na martin Kabemba)
No comments:
Post a Comment