Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiteta jambo na mkewe Mama Salma Kikwete, muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea mjinji Dodoma, ambapo ataongoza mkutano Mkuu wa chama hicho. (Picha zote na Freddy Maro)
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa akisalimiana na Mwenyekiti wake Taifa, Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo mchana.
No comments:
Post a Comment