Balozi wa Uholanzi nchini Dk. Ad Koekkoek (kulia), akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu msaada wa shilingi bilioni 33, uliotolewa na Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 nchini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ramadhan Khijjah. Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kila upande.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu msaada wa shilingi bilioni 33 uliotolewa na Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 nchini. Kulia ni Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek. Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kila upande.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dk. Ad Koekkoek (kulia), wakibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 33, uliotolewa na Serikali ya Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 nchini. Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kwa pande zote.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dk. Ad Koekkoek (kulia), wakibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 33, uliotolewa na Serikali ya Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 nchini. Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kwa pande zote. (Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es Salaam)
No comments:
Post a Comment