TANGAZO


Thursday, November 29, 2012

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein arejea nchini akitokea Vietnam alikokuwa kwa ziara ya Kiserikali

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akivalishwa Shada la mauwa alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini  Zanzibar, akirejea nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), alipowasili nchini akitokea nchini Vietnam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nchini alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, mjini Zanzibar, akirejea nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa mapokezi alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, mjini Zanzibar, akirejea nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.

No comments:

Post a Comment