TANGAZO


Thursday, November 29, 2012

Tigo yawazawadia washindi wa Tigo Reach for Change

 

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Andrew Hodgson (Kushoto), akiwa na washindi watatu wa shindano la Tigo Reach For Change, Brenda Shuma, Nyabange Chirimi na Thadei Msumanje baada ya kuwakabidhi zawadi zao, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Reach For Change, Sarah Damber. (Picha zote na Richard Mwaikenda)

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Andrew Hodgson (Kushoto), akiwa na mmoja wa wajasiliamali aliyeshinda shindano la Tigo Reach For Change, Bi. Brenda D. Shuma pamoja na Mkurugenzi wa Reach For Change Sarah Damber.
Mmoja wa wajasiliamali aliyeshinda shindano la Tigo Reach For Change, Bi. Brenda D. Shuma akielezea jambo kwa waandishi wa Habari.
Meneja wa Tigo, kitengo cha Huduma za Jamii Woinde Sishael akifafanua jambo.
Wadau wakifuatilia kwa umakini.

No comments:

Post a Comment