TANGAZO


Friday, November 30, 2012

Mahafali ya 13 ya Chuo cha Bandari Temeke jijini Dar es Salaam

 

Kocha wa timu ya Bndari, Kenny Mwaisabula akiwa na tabasamu wakati wa mahafali ya 13 ya Chuo cha Bandari yaliyofanyika Temeke, jijini Dar es Salaam leo.
 
Baaadhi ya wahitimu wa Chuo cha Bandari wakiingia kwa maandamano kwenye viwanja vya chuo hicho, wakati wa mahafali ya 13 yaliyofanyika Temeke jijini Dar es Salaam leo.
\

Wahitimu wa Chuo cha Bandari wakiingia kwa maandamano kwenye viwanja vya chuo hicho, wakati wa mahafali ya 13 yaliyofanyika Temeke jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya wahitimu wakibadilishana mawazo wakati wa mahafali yao hayo.
Baadhi ya viongozi wa Meza Kuu wakisikiliza na kuangalia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka katika mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wakisikiliza na kuangalia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka katika mahafali hayo.
Wahitimu wa Stashahada ya Uongozi ya Uhandisi wa Chuo cha Bandari, wakibadilishana mawazo wakati wa mahafali ya 13 yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Stella Mutayaba, Kenny Mwaisabula na Kaseko Malongo.  (Picha zote na Habari Mseto Blog)

No comments:

Post a Comment