Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akifunua pazia ikiwa ni ishara ya
uzinduzi wa ujenzi wa nyumba 48 za kuuza za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),
Ilala Mchikichini, Dar es Salaam jana.Anayeongoza kupiga makofi kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.
Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kulia), akimkaribisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kuzindua mradi huo.
Waziri Tibaijuka akihutubia wakati wa hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli akihutubia.
Profesa Tibaijuka akikagua ujenzi huo.
Moja ya majengo yanayojengwa eneo hilo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Baadhi ya majengo yanayoendelea kujengwa eneo hilo.
Baadhi ya majengo yakiwa katika hatua za ujenzi.
Profesa Anna Tibaijuka akiwa na Menejimenti ya NHC.

Waziri Tibaijuka akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika hafla hiyo. (Picha zote na Richard Mwaikenda) |
No comments:
Post a Comment