Sehemu ya nyuma ya gari alilopata nalo ajali masanii marehemu Sharo Milionea, maeneo ya Muheza Tanga.
Mwananchi akishangaa gari aina ya Toyota Harrier,
lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki, marehemu
Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea
kijijini kwao, Lusanga wilayani Muheza, Mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa
papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali Teule Muheza Tanga.
Wananchi wakilishangaa gari hilo, kwenye maeneo ya ajali.
Mbunge wa Jimbo la Muheza, Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa katika ajali ya gari wakati akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani Tanga, ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni jana usiku.
Wananchi wakilishangaa gari hilo, kwenye maeneo ya ajali.
Baadhi ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota
Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu
na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es Salaam
kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga. Sharo Millionea
alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza
Tanga.
Mwananchi akiwa karibu na gari aina ya Toyota Harrier
lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki
Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea
Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa
papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.Mbunge wa Jimbo la Muheza, Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa katika ajali ya gari wakati akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani Tanga, ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni jana usiku.
Mbunge wa Jimbo la Muheza, Hebert Mtangi
akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule
Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msanii Sharo Millionea.
No comments:
Post a Comment