Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape
Nnauye, akitoa salam za Chama kwenye msiba wa msanii, Joseph Maganga,
Mwananyamala, Dar es Salaam. Maganga alifariki Jumamosi hii.
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi CCM, Nape
Nnauye akiwa kwenye shughuli ya kuaga mwili wa msanii, John Maganga,
Mwananyamala, Dar es Salaam.
Msanii wa Bongo Movie, Husna Maulidi 'Lishez',
akitulizwa na wenzake, Babby Candy na Ketty wakati akilia kwa uchungu, katika hafla ya
kuuaga mwili wa Msanii wa Bongo Movie, marehemu John Maganga.
Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye
mwili wa msanii mwenzao, marehemu John Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala,
Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akimpa pole Stephen Maganga, baba wa msanii John Maganga wakati wa kuuaga mwili
wa msanii huyo, Mwananyama, Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Itikadi ana Uenezi, Nape Nnauye
akimpa pole Rais wa Wasanii.
No comments:
Post a Comment