Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akitoa tathmini ya ukusanyaji maoni ya wananchi katika awamu ya tatu, iliyoanza Oktoba 8 na kumalizika Novemba 6, 2012, ikihusisha Mikoa ya Rukwa, Njombe, Iringa, Singida Tabora, Mtwara, Kilimanjaro, Kaskazini Unguja na Kaskazini Pemba. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo, upande wa Zanzibar, Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhan. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, wakati alipokuwa akitoa tathmini ya ukusanyaji maoni ya wananchi katika awamu ya tatu, iliyoanza Oktoba 8 na kumalizika Novemba 6, 2012, ikihusisha Mikoa ya Rukwa, Njombe, Iringa, Singida Tabora, Mtwara, Kilimanjaro, Kaskazini Unguja na Kaskazini Pemba. Wapili kutoka kushoto ni Katibu wa tume, Assa Rashid, Naibu Katibu, Casmir Kyuki na Mkuu wa Kitengo cha Uratibu, Joseph Nduguru.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, wakati alipokuwa akitoa tathmini ya ukusanyaji maoni ya wananchi katika awamu ya tatu, iliyoanza Oktoba 8 na kumalizika Novemba 6, 2012, ikihusisha Mikoa ya Rukwa, Njombe, Iringa, Singida Tabora, Mtwara, Kilimanjaro, Kaskazini Unguja na Kaskazini Pemba. Kulia ni Katibu wa tume, Assa Rashid.

No comments:
Post a Comment