Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la
Uwezeshaji Kiuchumi, Anaclet Kashuliza akizungumza na waandishi wa habari baada
ya kufungua shindano
la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha Vyuo Vikuu vilivyopo
jijini Dar es Salaam leo. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano
hilo.
Mkurugenzi wa
Kitivo cha Ujasiriamali cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDEC), Maria Nchimbi
akitoa mada wakati wa shindano la kuandika
michanganuo ya biashara na kuvishirikisha Vyuo Vikuu vilivyopo jijini Dar es
Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Ofisa Masoko wa CRDB, Emmanuel Kiondo akitoa
mada kuhusu huduma
zinazotolewa na benki hiyo, wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya
biashara na kuvishirikisha Vyuo Vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya
CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Ofisa Masoko wa
CRDB, Emmanuel Kiondo (kushoto), akiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la
Uwezaeshaji na Kiuchumi wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya
biashara na kuvishirikisha Vyuo Vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya
CRDB ni wadhamini wa shindano hilo.
Baadhi ya washiri wakipata maelezo kutoka kwa
Maofisa wa benki ya CRDB.
Baadhi ya washirki wakigawiwa kofia na mmoja wa Maofisa wa benki ya CRDB. |
|
Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu
wakipewa vipeperushi kutoka kwa Ofisa wa benki ya CRDB, wakati wa shindano la
kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha Vyuo Vikuu vilivyopo jijini
Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha
Elimu ya Biashara (CBE), Enos Lupimo (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Ofisa
wa Benki ya CRDB, Tumaini Kamuhanda (wa pili kulia), kuhusu huduma za kibenki
zinazotolewa na benki hiyo, wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya
biashara na kuvishirikisha Vyuo Vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya
CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu wakisikiliza mada na maelezo mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa na Maofisa wa benki ya CRDB, wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha Vyuo Vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
No comments:
Post a Comment