TANGAZO


Monday, November 19, 2012

Rais Kikwete aongoza waombolezaji kuuaga mwili wa hayati Jackson Makwetta

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, mama Salma Kikwete, wakiwasili kutoa heshima zao za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali. (Picha zote na Ikulu)
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maomboleza alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akiwafariji wana familia wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
 
Makamu wa Rais, Dk. Gharib Mohamed Bilali, akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, ambaye kabla ya kufariki kwake juzi, alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, ambaye kabla ya kufariki kwake juzi, alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
 
Spika wa Bunge, Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, ambaye kabla ya kufariki kwake juzi, alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
 
Waziri Mkuu sstaafu, Cleopa David Msuya, akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, ambaye kabla ya kufariki kwake juzi, alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
Waziri William Lukuvi, akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, ambaye kabla ya kufariki kwake juzi, alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, ambaye kabla ya kufariki kwake juzi, alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimfariji mjane wa marehemu Makwetta, baada ya akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu huyo, ambaye kabla ya kufariki kwake juzi, alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, ambaye kabla ya kufariki kwake juzi, alipata kuwa Mbunge na Waziri katika Wizara mbalimbali.

No comments:

Post a Comment