Mkurugenzi wa kampuni ya
Intellectuals Communication Limited Innocent Melleck akisalimiana na Spika wa
Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda mara baada ya kikao cha Bunge ambapo Spika alitambulisha rasmi bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa kukumbuka, kuzingatia na kuuenzi urithi walioachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tanzania ambao ni Upendo, Mshikamano, Umoja na Amani iliyopo.
Mkurugenzi wa kampuni ya
Intellectuals Communication Limited, Innocent Melleck (kulia), akibadilishana
mawazo na Mnadhimu Mkuu wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida,
Tindu Lissu mara baada ya kikao cha bunge ambapo Spika alitambulisha rasmi
bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha
Watanzania umuhimu wa kukumbuka, kuzingatia na kuuenzi urithi walioachiwa na
viongozi waasisi wa Uhuru wa Tanzania ambao ni Upendo, Mshikamano, Umoja na Amani
iliyopo.

No comments:
Post a Comment