TANGAZO


Wednesday, November 14, 2012

Mabondia Francis Miyeyusho, Nassib Ramadhan kuzichapa Disemba 9

Mkurugenzi wa Kampuni ya Darworld Links, Mohamed Bawazir, akionesha mkanda wa Ubingwa wa Mabara wa WBF, ambao utashindaniwa na mabondia Nassibu Ramadhani (kushoto) na Francis Miyeyusho.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Darworld Links, Mohamed Bawazir, akiwa ameushikilia mkanda  wa Ubingwa wa Mabara wa WBF, utakaogombaniwa na mabondia Nassibu Ramadhani (kushoto) na Francis Miyeyusho, Disemba 9, mwaka huu.
 Mabondia Francis Miyeyusho (kulia) na Nassibu Ramadhani (kushoto), wakitambiana wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kwenye Hotel ya JB Belmont, wakati wa kutambulisha pambano hilo.
Mabondia Francis Miyeyusho (kulia), akikunjiana ngumi na Nassibu Ramadhani (kushoto), wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kwenye Hotel ya JB Belmont. (Picha zote na Francis Dande wa Habari Mseto)

No comments:

Post a Comment