Kocha wa Harambee Stars pamoja na wachezaji wa timu hiyo, wakiwa Uwanja wa ndege wa Mwanza muda mfupi baada ya kuwasili jijini hapa kwa ajili ya mchezo kati ya timu hiyo na Taifa Stars, kesho kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Kocha Kim Polsen akiwapa maelekezo wachezaji wa Stars kwenye uwanja wa CCM Kirumba wakati wa maozezi ya timu hiyo jana.
Mrisho Ngassa akifanya mazoezi ya viungo na Shomari Kapombe juzi kwenye uwanja wa CCM Kirumba wakati wa mazoezi ya Stars kujiandaa na mechi dhidi ya Harambee Stars
Kim Polsen akimpa maelekezo Mbwana Samatta wakati wa mazoezi ya Stars jana.
No comments:
Post a Comment