TANGAZO


Tuesday, November 13, 2012

Rais Kikwete apiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa nane katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma  leo. (Picha zote na Freddy Maro)

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa nane katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma  leo. 

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa nane katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma  leo.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa nane CCM wakishangilia mara baada ya Rais Kikwete kutangazwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa CCM Taifa katika ukumbi wa Kizota leo jioni.

 Kepteni John Komba wa bendi ya TOT, akiimba kuhamasisha wajumbe kwenye mkutano huo leo.


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Kikwete akipiga kura yake wakati wa uachaguzi wa Mwenyekiti wa CCM taifa katika ukumbi wa Kizota leo jioni.Rais Kikwete amateuliwa kuwa mgombea pekee wa kiti hicho.

No comments:

Post a Comment