Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na
baadhi ya wafanyabiashara wa Oman na Tanzania waliohudhuria Mkutano Maalum wa
Wawekezaji wa Tanzania uliofanyika jijini Mascat ,Oman usiku wa kuamkia leo. Mkutano
huo wa wawekezaji ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya Nnje na Ushirikiano wa
Kimataifa Bernard Membe, Waziri wa Viwanda Biashara na Masko, Dk. Abdallah
Kigoda, Waziri wa Kazi Ushirika na Uwezeshaji Kiuchumi wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, Haroun Ally Suleleiman, Naibu Waziri waFedha na Uchumi, Janet Mbene na
viongozi waandamizi mbalimbali wa Serikali zote mbili. (Picha zote na Ikulu)
|
No comments:
Post a Comment