Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mhe.Shawana Bukheti Hassan, kuwa
Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi wakati wa hafla iliyofanyika Ikulu
Mjini
Zanzibar leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mhe,Saidi Mohamed
Said,kuwa
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, wakaati wa hafla iliyofanyika Ikulu
Mjini
Zanzibar, leo mchana.
akimuapisha
Mhe, Mtumwa Kheir Mbarak,kuwa Naibu
Waziri Kilimo na Maliasili, wakati hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Bw Tahir M. Abdulla,kuwa Naibu
Katibu
Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,wakati wa hafla
iliyofanyika
Ikulu Mjini Zanzibar, leo mchana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Bw Mustafa Aboud Jumbe,kuwa Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Makaazi,Maji na Nishati, katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar, leo mchana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha CDR Julius Nalimy Maziku,kuwa
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Idara
Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Bw Juma Ameir
Hafidh,kuwa
Naibu Katribu Mkuu Ofisi ya Rais (Fedha Uchumi na Mipango ya
Maendeleo), katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment